Taarifa inatolewa kuwa Jumatano tarehe 10 Novemba 2021, kutakuwa na Kongamano la 17 la kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa Mwl.Julius Kambarage Nyerere (Nyerere Day), ambalo huandaliwa na kufanyika kila mwaka.

Kongamano hilo litafanyika Kampasi Kuu Morogoro, kuanzia saa 3:00 (Asubuhi), ukumbi wa Samora, Mgeni rasmi atakuwa Mhe. Kanali Joseph Simbakalia, Mwanasiasa nguli na Mkurugenzi Mstaafu wa EPZA(Export Processing Zones Authority).Kongamano litaongozwa na mada isemayo “Mtazamo wa Mwalimu Nyerere Kuhusu Dhana ya Uchumi Mzunguko (Circular Economy)”

News and Updates

Mzumbe University,
P.O Box 1 Mzumbe,
Morogoro, Tanzania.
Tel: 255 (0) 23 2931220/1/2
Fax: 255 (0) 23 2931216
Cell: 255 (0) 754694029
Email: .
Go to top