Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. William Mwegoha tayari amejiandikisha kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024.
Kaulimbiu ya Uchaguzi huo ni "Serikali za Mitaa, Sauti ya Wananchi, Jitokeze kushiriki Uchaguzi"
 
Mzumbe University,
P.O Box 1 Mzumbe,
Morogoro, Tanzania.
Tel: 255 (0) 23 2931220/1/2
Fax: 255 (0) 23 2931216
Cell: 255 (0) 754694029
Email: cmu@mu.ac.tz
Go to top