Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe kwa kushirikiana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya wana waalika wahitimu wote wa Chuo Kikuu Mzumbe kushiriki ujenzi wa hosteli ya wanafunzi wa kike Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Mbeya.

Changia kwa kutumia Kumbukumbu Namba ya Malipo 994180331310

Mzumbe University,
P.O Box 1 Mzumbe,
Morogoro, Tanzania.
Tel: 255 (0) 23 2931220/1/2
Fax: 255 (0) 23 2931216
Cell: 255 (0) 754694029
Email: .
Go to top