Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Mzumbe, Prof. William Mwegoha azungumza na menejimenti ya Ndaki ya Mbeya.
Hii ni sehemu ya ziara yake ya siku mbili katika ndaki hiyo iliyolenga kuhimarisha ushirikiano, uwazi na uwajibikaji wa watumishi, aidha amesisitiza masuala ya kitaaluma ikiwemo tafiti na machapisho.
*********