A:  MWENYEKITI

      Prof. Saida Yahya-Othman

B:  WAJUMBE

 1. Mkurugenzi wa Elimu ya Juu.

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,Mji wa Kiserikali, Mitumba,
    S.L.P. 10,
     DODOMA. 
     [Kwa mujibu wa Sehemu ya III, Kifungu Na. 19(1)(e) cha Hati Idhini ya Chuo Kikuu Mzumbe, 2007]

 2. Dkt. Laurean Ndumbaro.
     Katibu Mkuu - Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Mji wa Kiserikali, Mitumba,
     S.L.P. 40404,
     DODOMA. 
     [Kwa mujibu wa Sehemu ya III, Kifungu Na. 19(1)(e) cha Hati Idhini ya Chuo Kikuu Mzumbe, 2007]

3. Bi. Gloriosa Maganga..
    Mwakilishi wa Baraza la Wahitimu,
    S.L.P. 1719,
    TABORA. 
    [Kwa mujibu wa Sehemu ya III, Kifungu Na. 19(1)(m) cha Hati Idhini ya Chuo Kikuu Mzumbe, 2007]

4. Dkt. Wilhelm L. Mafuru.
    Mkurugenzi wa Mafunzo,
    Wizara ya Kilimo, Uvuvi na Mifugo,
    S.L.P. 2128,
    40487 DODOMA.
    [Kwa mujibu wa Sehemu ya III, Kifungu Na. 19(1)(m) cha Hati Idhini ya Chuo Kikuu Mzumbe, 2007]

5. Prof. Lughano J. M. Kusiluka.
    Makamu Mkuu wa Chuo,
    Chuo Kikuu Mzumbe,
    S.L.P. 1, 
    MZUMBE.
    [Kwa mujibu wa Sehemu ya III, Kifungu Na. 19(1)(b) cha Hati Idhini ya Chuo Kikuu Mzumbe, 2007]
   

6. Prof. Bernadeta Killian.
    Naibu Makamu Mkuu wa Chuo, 
    Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,
    S.L.P. 35040,
    DAR ES SALAAM. 
    [Kwa mujibu wa Sehemu ya III, Kifungu Na. 19(1)(c) cha Hati Idhini ya Chuo Kikuu Mzumbe, 2007]

7. Dkt. Charles Mwamwaja.
    Kamishna Msaidizi wa Bajeti, 
    18 Barababara ya Jakaya Kikwete,
    SLP 2802
    40468 DODOMA.
    [Kwa mujibu wa Sehemu ya III, Kifungu Na. 19(1)(f) cha Hati Idhini ya Chuo Kikuu Mzumbe, 2007]

8. CPA Pius A. Maneno.
    Mwakilishi wa Taasisi za Weledi,
    Mkurugenzi Mtendaji – NBAA,
    S.L.P. 5128,
    DAR ES SALAAM.
    [Kwa mujibu wa Sehemu ya III, Kifungu Na. 19(1)(g) cha Hati Idhini ya Chuo Kikuu Mzumbe, 2007]

 9. Bi. Judith Newa.
    Mwakilishi wa Chama cha Wafanyakazi - THTU,
    S.L.P. 1,
    MZUMBE.
    [Kwa mujibu wa Sehemu ya III, Kifungu Na. 19(1)(j) cha Hati Idhini ya Chuo Kikuu Mzumbe, 2007]

10. Dkt. Harold Utouh.
      Mwakilishi wa Chama cha Wanataaluma,
      S.L.P. 1,
      MZUMBE.
      [Kwa mujibu wa Sehemu ya III, Kifungu Na. 19(1)(h) cha Hati Idhini ya Chuo Kikuu Mzumbe, 2007]

11. CPA Jane Moshi,
      Mwakilishi wa Wafanyakazi Waendeshaji,
      S.L.P. 1,
      MZUMBE.
      [Kwa mujibu wa Sehemu ya III, Kifungu Na. 19(1)(i) cha Hati Idhini ya Chuo Kikuu Mzumbe, 2007]

12. Bi. Akila B Mollel
     
Mwakilishi wa Wanachuo - MUSO,
      S.L.P. 1,
      MZUMBE.
      [Kwa mujibu wa Sehemu ya III, Kifungu Na. 19(1)(n) cha Hati Idhini ya Chuo Kikuu Mzumbe, 2007]

 

C: KATIBU
    Bw. Innocent Lazaro Mgeta.
    Kaimu Katibu,
    Baraza la Chuo Kikuu Mzumbe,
    S.L.P. 1,
    MZUMBE.

 

 

Mzumbe University,
P.O Box 1 Mzumbe,
Morogoro, Tanzania.
Tel: 255 (0) 23 2931220/1/2
Fax: 255 (0) 23 2931216
Cell: 255 (0) 754694029
Email: mu@mzumbe.ac.tz
Go to top