Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. William Mwegoha, ameongoza uzinduzi wa Baraza Jipya la Wafanyakazi, hafla iliyoangazia umuhimu wa mshikamano na ushirikiano kati ya uongozi na wafanyakazi wa chuo hicho. Uzinduzi huo umefanyika tarehe 11 Desemba 2024,…
Read More
Chuo Kikuu Mzumbe kwa kushirikiana na UDOM, SUA, UDSM na MUHAS kimeandaa Kongamano la Tatu la Kitaifa la Taaluma za Maendeleo ili kujadili mwelekeo wa maendeleo ya kijamii yaliyopita, ya sasa na yajayo, ili kukidhi mahitaji ya dunia inayokabiliwa na…
Read More
Aliyosema Profesa William Mwegoha, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe # Mwaka huu 2024 Chuo Kikuu Mzumbe kinaweka historia kwa kutoa shahada ya udaktari wa heshima ya kwanza na kwa pekee kwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…
Read More
Mgeni maalum katika Mkutano wa 24 wa Baraza la Wahitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mheshimiwa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewahamasisha wahitimu kuchangia maendeleo ya taifa na kusaidia miradi ya maendeleo…
Read More
Tel: +255 023 2604380/1/3/4 Fax: +255 023 2931216 Cell: +255 0754 694029 Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.