Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. William Mwegoha, Novemba 15, 2023 amefanya mazuungumzo na Menejimenti ya Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Mbeya.
Amesisitiza juu ya uadilifu, uwajibikaji na usimamizi madhubuti wa miradi inayotekelezwa na Chuo, pamoja na maswala ya kitaaluma, ikiwemo Mahafali 22.
 
**
Mzumbe University,
P.O Box 1 Mzumbe,
Morogoro, Tanzania.
Tel: 255 (0) 23 2931220/1/2
Fax: 255 (0) 23 2931216
Cell: 255 (0) 754694029
Email: cmu@mu.ac.tz
Go to top