Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili  wa mahojiano utakaofanyika tarehe 15-06-2022 saa moja kamili asubuhi  katika Ukumbi  Namba 215 Jengo la Haile Selasie Kampasi Kuu Morogoro.

  • Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates).
  • Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao.

                Bofya hapa kupakua Matokeo

 

Mzumbe University,
P.O Box 1 Mzumbe,
Morogoro, Tanzania.
Tel: 255 (0) 23 2931220/1/2
Fax: 255 (0) 23 2931216
Cell: 255 (0) 754694029
Email: .
Go to top