Chuo Kikuu Mzumbe kimeanzisha masomo ya Shahada za Awali Kampasi ya Dar es Salaam-Tegeta ambazo zitaanza rasmi mwaka wa masomo 2020/2021.

Kozi hizo ni ” Bachelor of Public Administration (BPA) na Bachelor of Accountancy and Finance- Business Sector (BAF-BS).”Maombi yanafanyika kwa njia ya mtandao.

 

KUFANYA MAOMBI BOFYA HAPA

 

Mzumbe University,
P.O Box 1 Mzumbe,
Morogoro, Tanzania.
Tel: 255 (0) 23 2931220/1/2
Fax: 255 (0) 23 2931216
Cell: 255 (0) 754694029
Email: mu@mzumbe.ac.tz
Go to top