Una karibishwa kutembelea banda letu katika maonesho ya sabasaba Kuanzia tarehe 28 June hadi 13 Julai 2018,Huduma mbali mbali ikiwemo Udahili wa wanafunzi 2018/2019 kwa ngazi zote kuanzia cheti,stashahada,shahada nk.Pia utapata maelezo na ushauri juu ya programu mbalimbali zitolewazo kwenye kampasi zote za  Chuo Kikuu Mzumbe.

Mzumbe University,
P.O Box 1 Mzumbe,
Morogoro, Tanzania.
Tel: 255 (0) 23 2931220/1/2
Fax: 255 (0) 23 2931216
Cell: 255 (0) 754694029
Email: .
Go to top