Chuo Kikuu Mzumbe kinapenda kuufahamisha umma kwamba, Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Mh. Barnabas Samatta (Jaji Mkuu Mstaafu), amewateua Profesa Ganka Daniel Nyamsogoro kuwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo (Taaluma) na Profesa Ernest Kihanga kuwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo (Utawala na Fedha). Uteuzi wa kila mmoja wao ni kwa kipindi cha miaka minne, kuanzia tarehe 13 Machi 2017 hadi 12 Machi 2021.

Kiambatanisho >>

Contact Address

Mzumbe University,
P.O Box 1 Mzumbe,
Morogoro, Tanzania.
+255 (0) 23 260 4380 1/3/4
+255(0) 23 260 4382
+255(0) 75469409
mu@mzumbe.ac.tz

 

Go to top